GET /api/v0.1/hansard/entries/1072195/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072195,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072195/?format=api",
"text_counter": 45,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nominated, JP",
"speaker_title": "Mhe. David ole Sankok",
"speaker": {
"id": 13166,
"legal_name": "David Ole Sankok",
"slug": "david-ole-sankok"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Ninaunga mkono hotuba hii. Nataka kutoa shukrani zangu za dhati kwa Mtukufu Rais wa Muungano wa Tanzania. Ningependa kumualika tena na tena ili arudi nchini kwetu kwa sababu kulikuwa na mazuri."
}