GET /api/v0.1/hansard/entries/1072199/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072199,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072199/?format=api",
"text_counter": 49,
"type": "speech",
"speaker_name": "Naibu Spika wa Muda",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Mhe. (Ms.) Jessica Mbalu): Asante. Standing Orders zinaitwa ‘Kanuni za Kudumu’. Waheshimiwa, tungependa kupea kipaumbele wenyeviti wa Kamati ya Maswala ya Haki na Sheria, Kamati ya Ulinzi na Uhusiano wa Kigeni, Mhe. Katoo ole Metito, na Kamati ya Utawala na Usalama wa Taifa, Mhe. Peter Mwathi. Hio ni kulingana na Kanuni za Kudumu zetu. Hizo ndio Kamati zinakubaliwa kupewa kipaumbele kupitia Kanuni za Kudumu zetu. Sasa tuende kwa Mhe. wa Suba North, Mhe. (Bi) Odhiambo-Mabona. Mhe. Opiyo Wandayi, wewe sio Mwenyekiti wa Kamati ya Maswala ya Haki na Sheria."
}