GET /api/v0.1/hansard/entries/1072203/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072203,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072203/?format=api",
"text_counter": 53,
"type": "speech",
"speaker_name": "Suba North, ODM",
"speaker_title": "Mhe. (Ms.) Odhiambo-Mabona",
"speaker": {
"id": 376,
"legal_name": "Millie Grace Akoth Odhiambo Mabona",
"slug": "millie-odhiambo-mabona"
},
"content": "ninajiamini kwa vile nimeona kweli urais unaweza kufika kwangu kama mama. Kitu ambacho sikuelewa siku hiyo alipoongea, aliongea ju ya wanyama ambao wanatungwa mimba hapa Kenya na wanazaa Tanzania. Alimaanisha nini, ni wanyama wa Bungeni hapa ama ni wanyamapori? Nafikiri alimaanisha wanyama wa pori. Naona wakati wangu umeisha. Ninarudisha shukrani. Ninafurahia kwa sababu kumbe ninakifahamu Kiswahili. Najidharau tu lakini naelewa na naweza kuongea Kiswahili. Asante na Mungu awabariki na anibariki pia."
}