GET /api/v0.1/hansard/entries/1072206/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072206,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072206/?format=api",
"text_counter": 56,
"type": "speech",
"speaker_name": "Isiolo CWR, JP",
"speaker_title": "Mhe. (Ms.) Rehema Jaldesa",
"speaker": {
"id": 601,
"legal_name": "Rehema Dida Jaldesa",
"slug": "rehema-dida-jaldesa"
},
"content": "Mambo yale alituambia ni muhimu. Kwa mfano, alikubali ya kwamba ugonjwa wa Korona upo na akateua jopo ambalo litaangalia mambo kati ya Kenya na Tanzania. Hiyo itaboresha biashara na kufungua mipaka yetu. Kwa hivyo, ni kiongozi ambaye ako na maono. Sisi kama wamama, tunamwangalia. Ametupatia moyo wa kulenga viti vingine kubwa."
}