GET /api/v0.1/hansard/entries/1072210/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072210,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072210/?format=api",
"text_counter": 60,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ugunja, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Opiyo Wandayi",
"speaker": {
"id": 2960,
"legal_name": "James Opiyo Wandayi",
"slug": "james-opiyo-wandayi"
},
"content": "Nataka nichukue fursa ili niunge mkono Hoja hii ya maana kwa Bunge hili na taifa kwa jumla. Ni wazi ya kwamba, kuchaguliwa kwa Mhe. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, ni jambo la kihistoria. Yeye ndiye Rais wa kwanza mama kuchagulia katika eneo hili la Afrika Mashariki. Pongezi kubwa kwake na wananchi wa Tanzania. Kenya na Tanzania wana uhusiano wa muda mrefu sana, uliyoanza hata kabla ya nchi hizi mbili kujinyakulia uhuru. Huo uhusiano umekuwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}