GET /api/v0.1/hansard/entries/1072212/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072212,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072212/?format=api",
"text_counter": 62,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ugunja, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Opiyo Wandayi",
"speaker": {
"id": 2960,
"legal_name": "James Opiyo Wandayi",
"slug": "james-opiyo-wandayi"
},
"content": "Nikimpongeza Rais Suluhu, ni lazima nipongeze pia Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta. Hakupoteza wakati hata kidogo. Alichukua hatua haraka kuhakikisha ya kwamba tumetengeneza urafiki na Rais mpya wa Tanzania, Samia Suluhu. Hakuna nchi yoyote katika dunia nzima ambayo inaweza kuendesha shughuli zake kivyake. Nchi zinahitaji ushirikiano katika mambo ya uchumi, jamii na kadhalika. Hakuna nchi hata moja inaweza kuwa kama Island."
}