GET /api/v0.1/hansard/entries/1072215/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1072215,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072215/?format=api",
    "text_counter": 65,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ugunja, ODM",
    "speaker_title": "Mhe. Opiyo Wandayi",
    "speaker": {
        "id": 2960,
        "legal_name": "James Opiyo Wandayi",
        "slug": "james-opiyo-wandayi"
    },
    "content": "Tanzania na Kenya lazima ziendelee kushirikiana kwa manufaa ya watu wa nchi hizi mbili. Kuna watu wetu kutoka jamii mbalimbali katika nchi ya Kenya ambao wako Tanzania. Tutaanza na Wajaluo ambao wako kule Nyanza. Vilevile, kuna Wajaluo wengi sana katika nchi ya Tanzania. Wamaasai wengi wako kule Tanzania. Hiyo ni kumaanisha ya kwamba hatuwezi kujitenga. Vilevile, Watanzania hawawezi kujitenga."
}