GET /api/v0.1/hansard/entries/1072216/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072216,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072216/?format=api",
"text_counter": 66,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ugunja, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Opiyo Wandayi",
"speaker": {
"id": 2960,
"legal_name": "James Opiyo Wandayi",
"slug": "james-opiyo-wandayi"
},
"content": "Nikimalizia, nataka nimpongeze Rais Suluhu Hassan kwa kuchukua fursa yake ya kwanza kututembelea na kumwombea heri na baraka katika urais wake nchini humo. Vilevile, nawasihi Wananchi wa Tanzania washirikiane naye. Kama inawezekana, wamchague tena ili amalize mihula yake miwili ya urais. Sisi kama Wakenya, tutabaki na baraka."
}