GET /api/v0.1/hansard/entries/1072226/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072226,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072226/?format=api",
"text_counter": 76,
"type": "speech",
"speaker_name": "Narok CWR, JP",
"speaker_title": "Mhe. (Ms.) Soipan Tuya",
"speaker": {
"id": 926,
"legal_name": "Roselinda Soipan Tuya",
"slug": "roselinda-soipan-tuya"
},
"content": " Asante sana, Bi. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii niweze kuchangia Hoja hii. Kwanza kabisa ni kutoa shukrani zangu kwa Spika wa Bunge hili kwa kumwalika Rais wa nchi jirani, Mhe. Suluhu Hassan, kuja kuhutubia Bunge la Taifa na Bunge la Seneti kwenye kikao cha pamoja. Bi. Naibu Spika wa Muda, nina furaha isiyo na kifani ninapozungumzia Rais Suluhu Hassan. Mhe. Suluhu ameangaza mwanga mkubwa sana katika…"
}