GET /api/v0.1/hansard/entries/1072250/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1072250,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072250/?format=api",
    "text_counter": 100,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Fafi, KANU",
    "speaker_title": "Hon. Mohamed Abdikhaim",
    "speaker": {
        "id": 13329,
        "legal_name": "Abdikhaim Osman Mohamed",
        "slug": "abdikhaim-osman-mohamed"
    },
    "content": "kumaliza ufisadi hapa Kenya, ningeomba Rais wetu, Uhuru Muigai Kenyatta, apatie akina mama kazi kwa kiwango cha sitini kwa mia. Ni kwa sababu akina mama ni watu ambao wako na utu, wanajali masilahi, hawataki vita, na si watu wa kuiba ama kupora nchi. Kama tunataka kupigana na ufisadi, lazima tutambue akina mama katika kuongoza kazi humu nchini. Kuhusu biashara, sisi kama Wakenya lazima tuwe na amani kwanza, vile Rais Uhuru Muigai Kenyatta alitafuta ndugu yake aitwaye Baba na wakafanya Handshake . Walikumbatiana kuleta amani nchini. Lazima pia tuchunge jirani wetu. Tuko na jirani wengi sana. Wa kwanza ni Tanzania. Juzi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipokuja hapa, Watanzania walilalamika sana. Walisema kila wanapojaribu kufanya kazi ama kuanzisha biashara hapa Kenya inakuwa vigumu kwao kupata cheti ama leseni ya kuanzisha kazi. Sisi Wakenya, katika"
}