GET /api/v0.1/hansard/entries/1072260/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072260,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072260/?format=api",
"text_counter": 110,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kabondo Kasipul, ODM",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Eve Obara",
"speaker": {
"id": 13352,
"legal_name": "Eve Akinyi Obara",
"slug": "eve-akinyi-obara"
},
"content": " Asante sana, Bi Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi niunge mkono hoja ya Mama Rais Suluhu wa taifa la Tanzania. Ni mama wa kwanza kuwa Rais kwa Afrika Mashariki. Nafurahi kwamba marais wengi sana wametembelea Kenya, lakini hatujaona yeyote akifika hapa Bungeni. Tunampatia pongezi kwa kuwa Rais wa kwanza kutembelea Bunge la 12 la Kenya. Mama alisema maneno mengi mazito. Wenzetu wameongea maneno ya utaalii. Alitambua kwamba Kenya ni jirani mwema. Na alitutambua kama wale ambao atafanya nao biashara na kuendesha maendeleo kama majirani. Sisi wote we will benefit from both sides . Tutafaidika from both sides ."
}