GET /api/v0.1/hansard/entries/1072272/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1072272,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072272/?format=api",
    "text_counter": 122,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kabondo Kasipul, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Eve Obara",
    "speaker": {
        "id": 13352,
        "legal_name": "Eve Akinyi Obara",
        "slug": "eve-akinyi-obara"
    },
    "content": " Mama Rais Suluhu ni mama aliye na unyenyekevu na ni mwakishi kwa wamama wote ambao ni viongozi katika Afrika Mashariki na dunia nzima. Tunampa pongezi. Nimefurahia sana. Na tunaomba arudi tena. Mwisho, tunampatia Rais wetu mpendwa Uhuru Kenyatta hongera kwa kumpokea jirani Rais Bi Suluhu. Asante sana. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}