GET /api/v0.1/hansard/entries/1072277/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072277,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072277/?format=api",
"text_counter": 127,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kilome, WDM-K",
"speaker_title": "Hon. Thuddeus Nzambia",
"speaker": {
"id": 13375,
"legal_name": "Thaddeus Kithua Nzambia",
"slug": "thaddeus-kithua-nzambia"
},
"content": "wawakilishi wa wanawake. Imeweza kuwapa nguvu na motisha kujua kwamba kuna uwezekano wa wao pia kuwa marais ama viongozi wakuu kwenye taifa hili siku moja. Ninachojua ni kwamba uongozi wowote unaoshikiliwa na wanawake huimarisha hali ya nchi zaidi ukilinganisha na uongozi wa wanaume. Ninawashukuru Waheshimiwa wote kutoka Bunge la Taifa la Kenya na Bunge la Seneti kwa kumkaribisha Mhe. Suluhu na kwa kumwalika aje tena ili aendeleze mipango ya kung’arisha nchi zote mbili. Shukrani, Naibu Spika wa Muda."
}