GET /api/v0.1/hansard/entries/1072278/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072278,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072278/?format=api",
"text_counter": 128,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Deputy Speaker (",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Hon. (Ms.) Jessica Mbalu): Shukrani Mhe. wa Kilome. Nafasi iliyopo sasa ni ya Mbunge wa Isiolo Kaskazini, Mhe. Hulufo Oda. Ninaomba uchukue usukani. Waheshimiwa, sio lazima tena kufuata Kanuni za Kudumu. Pia, sio lazima mtumie wakati wenu wote maana tuko na Waheshimiwa wengine kwenye foleni."
}