GET /api/v0.1/hansard/entries/1072285/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1072285,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072285/?format=api",
    "text_counter": 135,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taita Taveta CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Haika Mizighi",
    "speaker": {
        "id": 13274,
        "legal_name": "Lydia Haika Mnene Mizighi",
        "slug": "lydia-haika-mnene-mizighi"
    },
    "content": " Mhe. Naibu Spika wa Muda, ninakushukuru kwa kunipatia hii fursa ili nichangie Hoja hii kuhusu Hotuba ya Rais wa Muungano Tanzania. Ninatangulia kwa kumshukuru Rais wetu kwa kumpa mwaliko Mama Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani. Pia, nampongeza Mama Suluhu kwa kukubali mwaliko huo na kuifanya Kenya nchi yake ya kwanza kuzuru rasmi akiwa kama Rais. Leo hii, tunamshukuru. Hotuba ya Mama Rais Suluhu ilikuwa ya kufana sana. Nilivutiwa na hekima yake. Pia nilipendezwa na umakini wake kila alipokuwa akijieleza. Nilifurahishwa na jinsi alivyotilia mkazo jambo la umoja na undugu wetu, haswa aliposema kuwa hili ni jambo ambalo limekuwa tangu mwanzo akieleza kwamba tangu jadi, The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}