GET /api/v0.1/hansard/entries/1072286/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072286,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072286/?format=api",
"text_counter": 136,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taita Taveta CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Haika Mizighi",
"speaker": {
"id": 13274,
"legal_name": "Lydia Haika Mnene Mizighi",
"slug": "lydia-haika-mnene-mizighi"
},
"content": "Watanzania na Wakenya waliishi kama ndugu. Nilifurahi kuona kwamba anataka kufufua uhusiano wetu wa tangu mwanzoni. Ndugu ni kufaana sio kufanana. Nchi za Kenya na Tanzania, na haswa Gatuzi la Taita Taveta, Eneo Bunge la Taveta, ni jirani wa Tanzania na tumekuwa tukifaana na ndugu zetu wa Tanzania kwa mambo mengi sana..."
}