GET /api/v0.1/hansard/entries/1072291/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1072291,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072291/?format=api",
    "text_counter": 141,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kirinyaga Central, JP",
    "speaker_title": "Hon. Munene Wambugu",
    "speaker": {
        "id": 13382,
        "legal_name": "John Munene Wambugu",
        "slug": "john-munene-wambugu"
    },
    "content": " Asante sana, Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii pia nami nichangie huu mjadala. Kwanza kabisa, nigependa kumpongeza Rais wetu mpendwa kwa kumwalika Rais Suluhu Hassan na yeye pia kukubali kuja hapa na kuhudhuria kikao cha Bunge zote mbili. Pia ningetaka kuwashukuru maspika wetu wote wawili kwa hiyo hatua walichukua kutuita sisi sote tuje kuhudhuria hotuba ya Rais wa Tanzania. Katika hotuba yake sana sana alilenga uhusiano mzuri ama mwema kati ya Tanzania na Kenya. Vile vile, alisema kuwa unaeza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua jirani..."
}