GET /api/v0.1/hansard/entries/1072293/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1072293,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072293/?format=api",
    "text_counter": 143,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Rongai, KANU",
    "speaker_title": "Hon. Kipruto Moi",
    "speaker": {
        "id": 2689,
        "legal_name": "Kipruto Moi",
        "slug": "kipruto-moi"
    },
    "content": " Asante sana, Naibu Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii nichangie hotuba ya Rais wa Tanzania. Wakati niliposikia hotuba yake ilikuwa ya kuwawezesha Watanzania waingie Kenya kwa wingi jinsi Wakenya wameingia Tanzania na kupeleka biashara huko. Aliseme kwamba ile pesa wanabiashara wamepeleka Tanzania ni nyingi sana kushinda ile Watanzania wameleta Kenya. Kwa hivyo, alikuja kuongea na Rais wetu wa Kenya kusaidia Watazania pia hao waweze kuweka pesa zao hapa Kenya. Pia, aliongea kuhusu barabara na umeme ambayo ni miradi Tanzania na Kenya wanafanya pamoja. Alifurahia kwamba..."
}