GET /api/v0.1/hansard/entries/1072295/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1072295,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072295/?format=api",
    "text_counter": 145,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kwale CWR, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Zuleikha Hassan",
    "speaker": {
        "id": 13130,
        "legal_name": "Zuleikha Juma Hassan",
        "slug": "zuleikha-juma-hassan"
    },
    "content": " Asante sana, Naibu Spika wa Muda. Mheshimiwa Rais Samia Suluhu alisema kwamba uongozi ni kuoyesha njia na sio kufunga njia. Nafikiri ni somo kubwa sote viongozi. Pili, sasa nimekuwa na moyo kuwa shida za biashara kubwa na ndogo ndogo kama za boda boda katika mpaka wetu wa Horo Horo ulioko Kaunti ya Kwale zitaisha. Alisema tushikane na tuungane naye ili tuweze kupitisha yale maswala aliyotuambia ya kusaidia nchi zetu mbili katika biashara na utalii. Asante sana."
}