GET /api/v0.1/hansard/entries/1072297/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1072297,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072297/?format=api",
    "text_counter": 147,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kinangop, JP",
    "speaker_title": "Hon. Zachary Thuku",
    "speaker": {
        "id": 13380,
        "legal_name": "Zachary Kwenya Thuku",
        "slug": "zachary-kwenya-thuku"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa nafasi hii. Kwanza ningetaka kumshukuru Rais wetu kwa kumwalika Rais Suluhu Hassan kuwa pamoja nasi. Tanzania wamebarikiwa sana kwa sababu wana Suluhu, Mpango na Majaliwa. Hawa wote ni viongozi katika serikali yao. Jambo la pili na la mwisho ni kwamba Rais Suluhu amejionyesha kuwa mwanadiplomasia ambaye Jumuiya ya Afrika Mashariki inahitaji sana. Nasema pongezi na aendelee zaidi."
}