GET /api/v0.1/hansard/entries/1072303/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072303,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072303/?format=api",
"text_counter": 153,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyeri CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Rahab Mukami",
"speaker": {
"id": 983,
"legal_name": "Rahab Mukami Wachira",
"slug": "rahab-mukami-wachira"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii niweze kuchangia Hotuba hii ya Rais Suluhu. Kwanza ni kumshukuru Mungu kwa Rais Suluhu kututembelea hapa Kenya kama nchi jirani. Ni Rais aliyenyenyekea sana, anapenda amani na alitutembelea ndiyo tuwe na uhusiano mzuri kati yetu na Tanzania. Pia aliweza kutuambia biashara inaendelea vizuri sana na miradi ya ujenzi wa barabara kutoka Lamu, Mombasa na Tanga yenye urefu wa kilomita 454 unaendelea vizuri. Tutaendelea kumuombea na pongezi sana kwa Rais Suluhu, Mungu amulinde na amuongoze..."
}