GET /api/v0.1/hansard/entries/1072307/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072307,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072307/?format=api",
"text_counter": 157,
"type": "speech",
"speaker_name": "Igembe South, Independent",
"speaker_title": "Hon. John Paul Mwirigi",
"speaker": {
"id": 1574,
"legal_name": "Cyprian Kubai Iringo",
"slug": "cyprian-kubai-iringo"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Pia mimi nataka kuchangia Hoja hii. Namshukuru Rais Uhuru Kenyatta kwa kujenga uhusiano mwema na Rais Suluhu Hassan wa Tanzania. Yale mambo nimeona Rais wetu akifanya yanatutia nguvu kila wakati kwa sababu analeta uhusiano ambao utasaidia Wakenya."
}