GET /api/v0.1/hansard/entries/1072312/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1072312,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072312/?format=api",
    "text_counter": 162,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kibra, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Benard Okoth",
    "speaker": {
        "id": 13530,
        "legal_name": "Benard Imran Otieno Okoth",
        "slug": "benard-imran-otieno-okoth"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii ili nichangie Hotuba ya Rais Suluhu Hassan. Yangu ni maswala ambayo yalijitokeza sana kama mambo ya biashara na utalii. Tukiangalia uhusiano wetu wa kibiashara na utalii haujaweza kuwa mzuri sana. Watalii kutoka Tanzania wanaweza kuja Kenya na Wakenya hawawezi kwenda kule Tanzania."
}