GET /api/v0.1/hansard/entries/1072316/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072316,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072316/?format=api",
"text_counter": 166,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nairobi CWR, ODM",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Esther Passaris",
"speaker": {
"id": 12475,
"legal_name": "Esther Passaris",
"slug": "esther-passaris"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nataka kusema kwanza tunashukuru kwa sababu mwanamke amechukua urais katika Jumuiya ya Afrika Mashariki. Napongeza Serikali yetu kwa kumkaribisha Rais Samia Suluhu Hassan hapa Kenya. Tunatarajia kwamba Rais wetu akipanga mambo ya 2022 atajaribu sana kuweka wanawake huko juu kwa sababu ameona kama Afrika Mashariki inaweza kuwa na Rais mama basi Kenya pia inaweza kuwa na mama..."
}