GET /api/v0.1/hansard/entries/1072320/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1072320,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072320/?format=api",
    "text_counter": 170,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kipipiri, JP",
    "speaker_title": "Hon. Amos Kimunya",
    "speaker": {
        "id": 174,
        "legal_name": "Amos Muhinga Kimunya",
        "slug": "amos-kimunya"
    },
    "content": " Mhe. Naibu Spika wa Muda naomba kuwashukuru Wabunge wenzangu wote waliochangia Hoja hii na kwa maneno yote mazuri wamezungumza kuhusu Rais Samia Suluhu Hassan, safari yake na hotuba aliyotoa katika Bunge hili. Ninashukuru kwa vile alivyojitolea kuboresha uhusiano baina ya nchi zetu mbili na kama nilivyosema ni kupapalia magugu yote ambayo yamekua na kuanza ukurasa mpya katika uwiano wa nchi zetu mbili na hasa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa jumla. Pia, ikiwa hiki ni kikao cha mwisho kabla ya kwenda kwenye likizo fupi, ningetaka kuwatakia Wabunge wote likizo yenye mafanikio na Mungu awalinde wote. Tuonane tena panapo majaliwa na kila mtu akumbuke kujikinga kutokana na janga la corona ambalo liko hapa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}