GET /api/v0.1/hansard/entries/1072321/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072321,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072321/?format=api",
"text_counter": 171,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kipipiri, JP",
"speaker_title": "Hon. Amos Kimunya",
"speaker": {
"id": 174,
"legal_name": "Amos Muhinga Kimunya",
"slug": "amos-kimunya"
},
"content": "na liko na sisi. Tukiweza kurudi hapa tutamshukuru Mungu kwamba tumeenda kutenda yale tunayotenda kwa wananchi tunaowahudumia na tumerudi hapa kuendelea na huduma tunazotoa katika Bunge tukiwa Wabunge ambao wameteuliwa kuwahudumia wananchi."
}