GET /api/v0.1/hansard/entries/1072325/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072325,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072325/?format=api",
"text_counter": 175,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Ms.) Jessica Mbalu): Asante. Waheshimiwa, tumefika kikomo cha mjadala wa Hoja na ni nafasi ya Mtoahoja kuhitimisha Hoja. Tayari amehitimisha. Asante sana. Nimethibitisha kwamba kuna akidi ya kutosha. Nachukua nafasi hii kutoa Hoja iamuliwe."
}