GET /api/v0.1/hansard/entries/1072392/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072392,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072392/?format=api",
"text_counter": 59,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Je, kuna haki katika msemo wa ndugu yangu ya kwamba ‘wakati Serikali ya Jubilee ilikuwa ikifanya kazi’? Hiyo ni kumaanisha kwamba hivi sasa haifanyi kazi ama inafanya kazi. Nakumbuka kuwa ndugu yangu, Sen. Cherargei, ni mwanachama sugu ambaye yuko katika hili Bunge la Seneti kupitia kwa tikiti ya Jubilee. Leo akiwa hapa anatoa matamshi kama hayo. Je, ni haki kusema kuwa chama ambacho kinatawala, yeye akiwa mmoja wao, hakifanyi kazi?"
}