GET /api/v0.1/hansard/entries/1072460/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072460,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072460/?format=api",
"text_counter": 127,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda kwa imani yako. Nilikuwa naweza kumaliza tu kwamba familia ya Mzee Charo Abaha hivi sasa ziko kule mwendo wa panya. Zote zimeweza kufurushwa katika ardhi zao ambazo wameishi miaka na vikaka hali ikiwa ni madharau matupu ambayo yameendelea. Wale watu waliowafukuza ni watu ambao wako na stakabadhi za bandia. Tunasema ya kwamba Serikali lazima ichukue hatua itetee watu hawa ambao ni wanyonge, wako chini na wameishi katika ardhi hiyo."
}