GET /api/v0.1/hansard/entries/1072741/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1072741,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072741/?format=api",
    "text_counter": 224,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Spika kwa kunipa fursa hii kuchangia ripoti ambayo imeletwa na Kamati Teule kuhusiana na kuondolewa mamlakani kwa Gavana wa Wajir. Kwanza Kabisa ningependa kuipongeza Kamati hii kwa kuweza kuja na ripoti ambayo imekubalika na wanachama wote wa Kamati. Ni nadra sana kuweza kupata Wanakamati kukubaliana na masuala ambayo yamewekwa mbele yao. Kwa hivyo, naipongeza Kamati ambayo inaongozwa na wakili Seneta Okong’o Omogeni pamoja na wanachama wote ambao walikuwa wakihudumu katika Kmati hiyo."
}