GET /api/v0.1/hansard/entries/1072743/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1072743,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072743/?format=api",
    "text_counter": 226,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "matumizi ya rasilimali za fedha za Bunge la Kaunti ya Wajir kinyume na vifungu vya 201(a) na 183 vya Katiba yetu na sheria ya 149 and 169 vya Public Finance Management(PFM) Act, 2012. Ijapokuwa mashtaka haya hayakuweza kuthibitishwa, ni wazi kwamba ushahidi ulikuwapo wa kuhukumu au kupata na hatia Gavana huyu kuhusiana na swala hilo."
}