GET /api/v0.1/hansard/entries/1072744/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1072744,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072744/?format=api",
    "text_counter": 227,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, shtaka la pili lilikuwa linahusu uajibikaji; ukosefu wa uajibikaji juu ya matumizi ya rasilmali za Kaunti ya Wajir na vile kushindwa kuwajibika kutoa hesabu za fedha kiasi cha bilioni mbili zilizotumika kama madeni ambayo yamelimbukizwa. Shtaka la tatu dhidi ya Gavana huyo ni kushindwa kupeleka Medium Term Strategy (MTS) ya mwaka wa 2020/2021. Shtaka hilo lilipelekwa katika Bunge la Kaunti la Wajir mwezi wa tatu. Ni wazi kwamba shtaka hilo limethibitishwa mbele ya Kamati Teule."
}