GET /api/v0.1/hansard/entries/1072748/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072748,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072748/?format=api",
"text_counter": 231,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "kinyume na Kifungu cha 187 cha Public Finance Management(PFM) Act, 2012 . Ingawa shtaka hilo halikuweza kuthibitishwa na Kamati Teule, ilikuwa wazi kwamba hapakuwa na taratibu zilizowekwa kutekeleza kifungu hicho cha sheria. Sheria inasema kuwa kamati hiyo inafaa kuteuliwa haraka iwezekanavyo. Gavana huyu alichaguliwa mwezi wa nane mwaka wa 2017. Sasa tuko mwezi wa nne mwaka wa 2021. Takriban miaka minne zimepita, Gavana huyu akihudumu bila kamati hiyo muhimu kulingana na sheria."
}