GET /api/v0.1/hansard/entries/1072750/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072750,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072750/?format=api",
"text_counter": 233,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika, vile vile kulikuwa na shtaka la kukosa kuthibitisha kupeleka katika bunge la kaunti ripoti ya mwaka kuhusiana na utekelezaji wa sera na mipango ya baadaye. Hili pia ni jambo muhimu kwa serikali zetu za kaunti kwa sababu zinaipa fursa mabunge hayo kujua ni mambo gani serikali za kaunti zinaweza kufanya na njia ambazo wananchi wataweza kuchangia maswala yale."
}