GET /api/v0.1/hansard/entries/1072751/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072751,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072751/?format=api",
"text_counter": 234,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Kwa muktasari, hayo ndio mambo ambayo nimeweza kupitia katika ripoti hii. Kamati Teule imethibitisha kwamba shtaka moja limeweza kuthibitishwa. Hii ina maana kwamba sisi kama Maseneta, tunapaswa kukubaliana na ripoti ya Kamati hiyo kwa"
}