GET /api/v0.1/hansard/entries/1072755/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1072755,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072755/?format=api",
    "text_counter": 238,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bunge la Kaunti ya Wajir wameweza kusema na kutenda. Wameleta mashtaka katika Bunge hili na mashtaka hayo yameweza kuthibitishwa. Bunge hili halina budi ila kumpeleka gavana wa Kaunti ya Wajir nyumbani ili aende akafanye mambo mengine."
}