GET /api/v0.1/hansard/entries/1072756/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1072756,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072756/?format=api",
    "text_counter": 239,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Mwisho ni kwamba tumeona uhuru wa bunge la kaunti ya Wajir. Tungependa kuona mabunge yote 47 katika Jamhuri ya Kenya yakiwa na uhuru wa bunge la Kaunti ya Wajir kwani hilo ndilo litasaidia wananchi kutekeleza ugatuzi katika nchi yetu. Hatuwezi kuwa na mabunge ya kaunti ambayo mara nyingi yako kitandani na magavana. Hiyo ni kurejesha nyuma maazimio ya wale ambao walileta ugatuzi katika nchi yetu ya Kenya."
}