GET /api/v0.1/hansard/entries/1073013/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1073013,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1073013/?format=api",
    "text_counter": 187,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Cheruiyot",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13165,
        "legal_name": "Aaron Kipkirui Cheruiyot",
        "slug": "aaron-cheruiyot"
    },
    "content": "Kwa hivyo, ninatoa changamoto kwa ndungu zangu katika Seneti, kwamba tujikaze. Sio lazima mmoja wetu alete Hoja hapa lakini tutenge siku moja ya kuzungumza Kiswahili. Ninajua sisi sote katika Bunge hili ni Wakenya na Kiswahili ndio lugha ya kwanza tuliyojifunza baada ya lugha ya mama. Ninajua hata kwa wengine, Kiswahili ndio lugha yao ya kwanza. Tujikaze na tutenge siku ya kuzungumza Kiswahili ili tudumishe utamaduni wetu."
}