GET /api/v0.1/hansard/entries/1073024/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1073024,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1073024/?format=api",
"text_counter": 198,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Cheruiyot",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13165,
"legal_name": "Aaron Kipkirui Cheruiyot",
"slug": "aaron-cheruiyot"
},
"content": "yao ya Serengeti kule Tanzania na upande huu wetu wa Maasai Mara, alisema mara nyingi tukienda katika nchi za ng’ambo, sisi twafanya tukiwa wafanyibiashara na mtu atafikiria ni mambo mawili tofauti, mbuga ambazo haziitani. Lakini tutakapokaa na kuelewana, yawezakuwa kwa wale ambao tunawatembelea katika nchi za kigeni na kuwaeleza kuwa waweza kuja kufanya starehe na burudani hapa nchini na tuwauzie jambo ambalo ni kubwa. Kuna vile unavyotengeneza mawazo na ile"
}