GET /api/v0.1/hansard/entries/1073028/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1073028,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1073028/?format=api",
"text_counter": 202,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, shukrani kwa kunipa nafasi hii. Nataka kusema ya kwamba ametamka akisema ya kwamba siku zinazokuja hapo mbeleni. Hiyo ni sawa kabisa, tumemuelewa. Lakini kitu kizuri Sen. Cheruiyot angesema ni siku za usoni."
}