GET /api/v0.1/hansard/entries/1073066/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1073066,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1073066/?format=api",
    "text_counter": 240,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Cherargei",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13217,
        "legal_name": "Cherarkey K Samson",
        "slug": "cherarkey-k-samson"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, jambo la nne ni ujenzi wa miundo misingi. Sen. Sakaja alitaja barabara ambazo zitakuwa miundo misingi mzuri sana na zitarahisisha biashara kwa wale ambao wanabeba bidhaa zao kutoka Kenya kwenda Tanzania. Miundo msingi ikiwekwa vizuri, itarahisisha kufanya biashara na kusafirisha watu na bidhaa. Ni muhumu sana."
}