GET /api/v0.1/hansard/entries/1073067/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1073067,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1073067/?format=api",
"text_counter": 241,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Cherargei",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13217,
"legal_name": "Cherarkey K Samson",
"slug": "cherarkey-k-samson"
},
"content": "Kuna jambo la umeme wa kilo volti mia nne. Dunia haiwezi kuendelea bila umeme, ni muhimu sana. Namshukuru Rais Suluhu Hassan kwa kugusia kuwa nchi zetu zipige hatua. Mojawapo ya Ajenda Nne ya Serikali ya Kenya ni kushughulikia viwanda."
}