GET /api/v0.1/hansard/entries/1073074/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1073074,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1073074/?format=api",
    "text_counter": 248,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Omogeni",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13219,
        "legal_name": "Erick Okong'o Mogeni",
        "slug": "erick-okongo-mogeni"
    },
    "content": "Bi Spika, kwanza ninakushukuru kwa kunipa nafasi hii ili nichangie katika kutoa shukrani kwa Rais Suluhu Hassan kwa Hotuba yake. Ninampongeza aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Haki na Maswala ya Sheria na Haki za Binadamu, kwa kuzungumza Kiswahili sanifu mchana huu."
}