GET /api/v0.1/hansard/entries/1073083/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1073083,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1073083/?format=api",
"text_counter": 257,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Omogeni",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13219,
"legal_name": "Erick Okong'o Mogeni",
"slug": "erick-okongo-mogeni"
},
"content": "na tukaruhusu mandugu zetu kutoka mataifa haya waje kufanya biashara ya uwakili katika taifa letu la Kenya. Bi. Spika wa Muda, tukizungumza hivi leo, kuna Waganda wengi ambao walichukua hiyo nafasi wakaja huku Kenya na kwenda kuhitimu katika shule ya kufundisha wanasheria, Kenya School of Law (KSL), na sasa hivi ni mawakili. Lakini haya mataifa mengine haswa mataifa la Uganda na Tanzania hawajafungulia mipaka wale mawakili kutoka nchi ya Kenya kwa sababu wanasema wakiwaruhusu Wakenya wengi kule wataenda kufanya ile biashara ambayo wanaita"
}