GET /api/v0.1/hansard/entries/1073085/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1073085,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1073085/?format=api",
"text_counter": 259,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Omogeni",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13219,
"legal_name": "Erick Okong'o Mogeni",
"slug": "erick-okongo-mogeni"
},
"content": "na insurance. Lakini nataka kuwaambia kwamba Wakenya sio watu wabaya. Wakenya ni watu wazuri na tunaheshimu sheria. Ni vizuri tukienda kule Tanzania pia tutafundisha madada na mandugu zetu wa mataifa hayo njia mufti ya kufanya biashara. Kwa hivyo, itakua jambo la busara sana ikiwa tutafungulia wale ambao tunaita"
}