GET /api/v0.1/hansard/entries/1073087/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1073087,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1073087/?format=api",
    "text_counter": 261,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Omogeni",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13219,
        "legal_name": "Erick Okong'o Mogeni",
        "slug": "erick-okongo-mogeni"
    },
    "content": "kutoka mataifa hayo waweze kuwa na nafasi ya kufanya biashara zao katika mataifa yote matatu. Bi. Spika wa Muda, sitaki kuzungumza mengi. Namalizia kwa kusema kwamba kwenda mbele, tungependa kuona kwamba uhusiano huu unanawiri na tunampa pongezi Rais wetu kwa kumpa nafasi nzuri Rais wa Tanzania, Suluhu Hassan kwa kuja. Pia, tunamuomba yeye awatembelee na tuweze kuhakikisha kwamba uhusiano huu utaleta faida kwa wananchi wetu, hasa kiuchumi. Bi. Spika wa Muda, nashukuru sana kwa kunipa hii nafasi. Asante sana."
}