GET /api/v0.1/hansard/entries/1074802/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1074802,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1074802/?format=api",
    "text_counter": 257,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Ninakashifu kitendo kile kwa sababu hio ni dhuluma kwa binadamu, na haikubaliki popote. Lakini, hicho kisikue kisingizio cha kufanya Nakuru kutokuwa jiji. Tunapinga jambo lile. Tukio kama hiyo haifai kufanyika katika kaunti yoyote. Tukio kama hilo pia lilitendeka katika kaunti ya Uasin Gishu. Tunapinga vikali mambo kama hayo. Nilipokua na manufaa, nilikua Mwenyekiti, lakini kwa sasa ninaunga mkono Hoja hii kwa sababu mimi nashikilia yale mambo tulifanya. Tulifanya mambo yale kwa uhuru"
}