GET /api/v0.1/hansard/entries/1074804/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1074804,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1074804/?format=api",
"text_counter": 259,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "na uwazi. Nakuru ikiinuliwa kuwa jiji hata watu wa Nyahururu, Meru, Ol Kalou na wengine wote waliopakana na Kaunti ya Nakuru watapata kazi. Mimi nina uhakika na imani kwamba Nakuru ikiinuliwa kuwa jiji mambo yatafanywa vizuri. Ninashukuru Sen. Kihika kwa kunikumbusha leo asubuhi kwamba nisisahau kuja kuunga mkono hoja hii. Aliniambia kwamba iwapo nitakosa kuunga mkono hoja hii itakuwa dhambi na laana kwangu. Bw. Spika, ninaunga mkono hoja hii inayopendekeza kuinua Nakuru kuwa jiji. Asante."
}