GET /api/v0.1/hansard/entries/1074821/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1074821,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1074821/?format=api",
"text_counter": 276,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii ili kuchangia na kuunga mkono huu Mswada wa kufanya mji wa Nakuru kuwa mji mkuu. Naunga mkono kwa sababu mbili; ya kwanza ikiwa ni kwamba ule mji wa Nakuru umetimiza vile vigezo vyote vya kuwa mji mkuu. Vigezo hivi huwa ni idadi ya watu na vile wamejitayarisha kutoa kwa mfano maji taka na kadhalika. La pili, napenda kuunga mkono mji ule kuwa mjii mkuu kwa sababu Seneta wa Kaunti ya Nakuru, Sen. Kihika amekuwa katika mstari wa mbele pia kupigia upato ule mji wa Nakuru kuwa mji mkuu."
}