GET /api/v0.1/hansard/entries/1075905/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1075905,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1075905/?format=api",
"text_counter": 39,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": "Kwa hivyo, Mhe. Spika kwa unyenyekevu, ombi langu ni kuwa Bunge hili, kupitia Kamati ya Biashara, Viwanda na Vyama vya Ushirika, liingilie kati na liangalie jambo hili haraka iwezekanavyo. Watu warejee na wafanye biashara zao katika Mama Ngina Recreation Centre, Light House, Jomo Kenyatta Public Beach na katika sehemu zingine Mombasa. Vilevile, ikiwa kutakuwa na maoni yoyote Kamati itazingatia, tuko radhi na sawa kuweza kuyafuata."
}